Friday, December 30, 2016

ZIARA NA MUHADHARA WA SHEIKH MBARAK AHMED AWES KUTOKA KENYA

TEHAMA KWA PAMOJA NA "KALAMU STUDIO"  WALISHIRIKI KIKAMILIFU, KATIKA KUWAKUSANYIA MATUKIO, YA  MIHADHARA YA SHEIKH MBARAK AHMED AWES. KUTOKA NCHINI KENYA .ALIPOKUWA HAPA NCHINI TANZAANIA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM.

NA;SEIF.J.SEIF
tehamaclass-tz
#RATIBA NZIMA YA ZIARA YA SHEKH MBARAK AHMED AWES

#MAHOJIANO MAALUM NA SHEIKH AHMED MBARAK AWES,MUDA MFUPI BAADA YA KUWASILI JIJINI DAR ES SALAAM.
#BAADA YA SWALAT DHUHURI "SHEIKH ALIANZA MUHADHARA WAKE WA KWANZA KATIKA MSIKITI WA JAMIA -KITUMBINI
#DR MBARAK AHMED(WA PILI KUTOKA KUSHOTO) AKIWA PAMOJA NA WENYEJI WAKE HAPA NCHINI :AKIWEMO RAIS WA KALAMU EDUCATION FOUNDATIO (WA KWANZA KUTOKA KULIA.
#DIRECTA  MUSTAFA AKIFANYA MAANDALIZI KWA AJILI YA MATUKIO YA MUHADHARA WA SHEIKH MBARAK AHMED  KWENYE MSIKITI WA MTORO-KARIAKOO.


#SHEIKH MBARAK AHMED AWES AKIWASILISHA MADA YAKE YA "I'SMA YA MTUME MOHAMMED (S.A.W) MBELE YA WAUMINI WA MSIKITI WA MTORO.

#WAUMIN WA MSIKITI WA MTORO WAKISIKILIZA KWA MAKINI ,MADA YA SHEKH MBARAK AHMED
MPIGA PICHA WETU :MOHAAMED KASHI-AKIHAKIKISHA HAPITWI NA TUKIO KATIKA MUHADHARA HUO WA SHEIKH MBARAK AHMED.
#SHEIKH MBARAK AHMED :AKISISITIZA JAMBO :KABLA YA KUHITISHA RATIBA YAKE KWA MSITIKI WA MTORO ,AMBAPO ULIFANYIKA BAADA YA SWALA YA MAGHARIB.
#SHEIKH MBARAK AHMED;AKIAGANA NA WAUMINI WA MSIKITI WA MTORO JIJINI DAR ES SALAAM,BAADA YA KUKAMILISHA MUHADHARA WAKE ALIOUFANYA SIKU HIYO YA AL KHAMIS TAR;29 DEC 2016, BAADA YA SWALAT MAGHARIB.

BAADA YA HAPO SIKU YA IJUMAA YA TAR:30-DEC-2016 .SHEIKH MBARAK AHMED AWES , ALIJUMUIKA NA WAUMINI WA MSIKITI WA KICHANGANI ULIOPO MAGOMENI-DAR ES SALAAM  KWA KUSHIRIKI KATIKA KUTOA "KHUTBA YA AL JUMAA"
#SHEIKH MBARAK AHMED AWES: AKIWASILISHA KHUTBA YAKE YA SWALAT AL -JUMAA ,MBELE YA WAUMINI WA MSIKITI WA KICHANGANI;
#WAUMIN WA MSIKITI WA KICHANGANI WAKISIKILIZA KHUTBA YA AL JUMAA KWA UMAKINI KUTOKA KWA SHEIKH MUBARAK AHMED AWES.

#BAADA YA SWALAT AL JUMAA" WAUMIN WALIPATA FURSA YA KUAGANA NA SHEKH MUBARAK AHMED.
#BAADA YA KUHITIMISHA SHUGHULI NZIMA YA SWALAT AL JUMAA: PICHA YA PAMOJA BAINA YA VIONGOZI NA MASHEKH  WAKIONGOZWA NA IMAMU MKUU WA MSIKITI WA KICHANGANI, SHEIK: WALID wa TATU kutokea upande wa kushoto,  WAKIWA  KWENYE PICHA YA PAMOJA NA SHEKH MUBARAK AHMED AWES wa NNE kutokea kushoto, AKIFUATIWA NA MH; JANUARY MAKAMB,
#TIMU YA WAPIGA PICHA YA "TEHAM"CHINI YA "KALAMU STUDIO"wakiongozwa na DIRECTA ;MUSTAPHA , MPIGA PICHA MKUU:JAFFARI ,NA CAMERA MAN :MOHAMMED KASHI. WAKIFANIKISHA TUKIO HILI KWA KUKUSANYA MATUKIO YA SHUGHULI NZIMA ,KATIKA MSIKITI WA KICHANGANI.


blog hii:ITAENDELEA KUKUPATIA UP DATE NA MATUKIO, KATIKA MFULULIZO WA MIHADHARA YA SHEIKH MUBARAK AHMED AWES, INAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM:

USIKAE MBALI NA BLOG YAKO HII YA 
www.tehamaclasstz.blogspot.com