NA;SEIF.J.SEIF
tehamaclass-tz
#RATIBA NZIMA YA ZIARA YA SHEKH MBARAK AHMED AWES
#MAHOJIANO MAALUM NA SHEIKH AHMED MBARAK AWES,MUDA MFUPI BAADA YA KUWASILI JIJINI DAR ES SALAAM.
#BAADA YA SWALAT DHUHURI "SHEIKH ALIANZA MUHADHARA WAKE WA KWANZA KATIKA MSIKITI WA JAMIA -KITUMBINI
#DR MBARAK AHMED(WA PILI KUTOKA KUSHOTO) AKIWA PAMOJA NA WENYEJI WAKE HAPA NCHINI :AKIWEMO RAIS WA KALAMU EDUCATION FOUNDATIO (WA KWANZA KUTOKA KULIA.
#DIRECTA MUSTAFA AKIFANYA MAANDALIZI KWA AJILI YA MATUKIO YA MUHADHARA WA SHEIKH MBARAK AHMED KWENYE MSIKITI WA MTORO-KARIAKOO.
#SHEIKH MBARAK AHMED AWES AKIWASILISHA MADA YAKE YA "I'SMA YA MTUME MOHAMMED (S.A.W) MBELE YA WAUMINI WA MSIKITI WA MTORO.
#WAUMIN WA MSIKITI WA MTORO WAKISIKILIZA KWA MAKINI ,MADA YA SHEKH MBARAK AHMED
MPIGA PICHA WETU :MOHAAMED KASHI-AKIHAKIKISHA HAPITWI NA TUKIO KATIKA MUHADHARA HUO WA SHEIKH MBARAK AHMED.
#SHEIKH MBARAK AHMED :AKISISITIZA JAMBO :KABLA YA KUHITISHA RATIBA YAKE KWA MSITIKI WA MTORO ,AMBAPO ULIFANYIKA BAADA YA SWALA YA MAGHARIB.
#SHEIKH MBARAK AHMED;AKIAGANA NA WAUMINI WA MSIKITI WA MTORO JIJINI DAR ES SALAAM,BAADA YA KUKAMILISHA MUHADHARA WAKE ALIOUFANYA SIKU HIYO YA AL KHAMIS TAR;29 DEC 2016, BAADA YA SWALAT MAGHARIB.
BAADA YA HAPO SIKU YA IJUMAA YA TAR:30-DEC-2016 .SHEIKH MBARAK AHMED AWES , ALIJUMUIKA NA WAUMINI WA MSIKITI WA KICHANGANI ULIOPO MAGOMENI-DAR ES SALAAM KWA KUSHIRIKI KATIKA KUTOA "KHUTBA YA AL JUMAA"
#SHEIKH MBARAK AHMED AWES: AKIWASILISHA KHUTBA YAKE YA SWALAT AL -JUMAA ,MBELE YA WAUMINI WA MSIKITI WA KICHANGANI;
#WAUMIN WA MSIKITI WA KICHANGANI WAKISIKILIZA KHUTBA YA AL JUMAA KWA UMAKINI KUTOKA KWA SHEIKH MUBARAK AHMED AWES.
#BAADA YA SWALAT AL JUMAA" WAUMIN WALIPATA FURSA YA KUAGANA NA SHEKH MUBARAK AHMED.
#BAADA YA KUHITIMISHA SHUGHULI NZIMA YA SWALAT AL JUMAA: PICHA YA PAMOJA BAINA YA VIONGOZI NA MASHEKH WAKIONGOZWA NA IMAMU MKUU WA MSIKITI WA KICHANGANI, SHEIK: WALID wa TATU kutokea upande wa kushoto, WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA SHEKH MUBARAK AHMED AWES wa NNE kutokea kushoto, AKIFUATIWA NA MH; JANUARY MAKAMB,
#TIMU YA WAPIGA PICHA YA "TEHAM"CHINI YA "KALAMU STUDIO"wakiongozwa na DIRECTA ;MUSTAPHA , MPIGA PICHA MKUU:JAFFARI ,NA CAMERA MAN :MOHAMMED KASHI. WAKIFANIKISHA TUKIO HILI KWA KUKUSANYA MATUKIO YA SHUGHULI NZIMA ,KATIKA MSIKITI WA KICHANGANI.
blog hii:ITAENDELEA KUKUPATIA UP DATE NA MATUKIO, KATIKA MFULULIZO WA MIHADHARA YA SHEIKH MUBARAK AHMED AWES, INAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM:
USIKAE MBALI NA BLOG YAKO HII YA
www.tehamaclasstz.blogspot.com
No comments:
Post a Comment