Tuesday, December 5, 2017

TEHAMA CLASS TRAINING CENTER

BAADHI YA WANAFUNZI WA "TEHAMA CLASS CENTER"

SOTE TWENDENI "TEHAMA"


 SEHEMU YA DARASA LA "TEHAMA"

KARIBUNI TEHAMA

(TEHAMA IKIWEZESHWA INAWEZA).

Picha Maelezo Na: SEIF, J. SEIF
www.tehamaclasstz.com






KARIBU KATIKA KITUO CHETU CHA "TEHAMA"...

Kwa Elimu Nzuri Na Sahihi Ya Kujifunza TEHAMA" KWA MTOTO WAKO MLETE KATIKA KITUO CHETU AJUMUIKE NA WATOTO WENZAKE_ NA Ikumbukwe Kwa Watoto Walio kuanzia DARASA LA KWANZA Mpaka La Darasa La TATU ..KWA SHULE ZA MSINGI, MASOMO YAO YANATOLEWA "BURE KABISA".. NA RATIBA YAO NI SIKU ZA "JUMAMOSI NA JUMAPILI"...

Watoto Wakijifunza :NINI MAANA YA "NGAMIZI"...
WATOTO NA "TEHAMA".......





                                                  HUJACHELEWA MLETE MWANAO..
                                                 (TEHAMA IKIWEZESHWA INAWEZA)

Picha Maelezo Na: SEIF J SEIF
www.tehamaclasstz.com

KATIKA KUHAKIKISHA ELIMU HII YA "TEHAMA"INAWAFIKIA WATU POPOTE PALE WALIPO .

TIMU NZIMA YA TEHAMA- ILIWEZA KUTOKA NA KWENDA KUWAHAMASISHA WATU MBALIMBALI KUHUSU ELIMU HII YA TEHAM...


Direkta Kiongozi wa Timu Nzima Ya Tehma Class..Bw: Rajab Mustafa akiendesha semina ya Uhamasishaji wa Somo La Tehama.


AWAMU MPYA YA HARAKATI ZA TEHAMA CLASS-TZ

WAPENZI NA WADAU WETU WA TEHAMA-CLASS TZ, KARIBUNI KATIKA BLOG YETU HII, KWA UPDATE -MBALIMBALI NA MATUKIO YANAYOJIRI KATIKA KUELEKEA AWAMU HII YA "PILI" YA UZINDUZI RASMI WA KITUO CHETU CHA UHAMASISHAJI,WA SOMO LA TEHAMA KWA KAYA NA TAIFA,..................................................

                                           (TEHAMA IKIWEZESHWA INAWEZA)

Friday, December 30, 2016

ZIARA NA MUHADHARA WA SHEIKH MBARAK AHMED AWES KUTOKA KENYA

TEHAMA KWA PAMOJA NA "KALAMU STUDIO"  WALISHIRIKI KIKAMILIFU, KATIKA KUWAKUSANYIA MATUKIO, YA  MIHADHARA YA SHEIKH MBARAK AHMED AWES. KUTOKA NCHINI KENYA .ALIPOKUWA HAPA NCHINI TANZAANIA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM.

NA;SEIF.J.SEIF
tehamaclass-tz
#RATIBA NZIMA YA ZIARA YA SHEKH MBARAK AHMED AWES

#MAHOJIANO MAALUM NA SHEIKH AHMED MBARAK AWES,MUDA MFUPI BAADA YA KUWASILI JIJINI DAR ES SALAAM.
#BAADA YA SWALAT DHUHURI "SHEIKH ALIANZA MUHADHARA WAKE WA KWANZA KATIKA MSIKITI WA JAMIA -KITUMBINI
#DR MBARAK AHMED(WA PILI KUTOKA KUSHOTO) AKIWA PAMOJA NA WENYEJI WAKE HAPA NCHINI :AKIWEMO RAIS WA KALAMU EDUCATION FOUNDATIO (WA KWANZA KUTOKA KULIA.
#DIRECTA  MUSTAFA AKIFANYA MAANDALIZI KWA AJILI YA MATUKIO YA MUHADHARA WA SHEIKH MBARAK AHMED  KWENYE MSIKITI WA MTORO-KARIAKOO.


#SHEIKH MBARAK AHMED AWES AKIWASILISHA MADA YAKE YA "I'SMA YA MTUME MOHAMMED (S.A.W) MBELE YA WAUMINI WA MSIKITI WA MTORO.

#WAUMIN WA MSIKITI WA MTORO WAKISIKILIZA KWA MAKINI ,MADA YA SHEKH MBARAK AHMED
MPIGA PICHA WETU :MOHAAMED KASHI-AKIHAKIKISHA HAPITWI NA TUKIO KATIKA MUHADHARA HUO WA SHEIKH MBARAK AHMED.
#SHEIKH MBARAK AHMED :AKISISITIZA JAMBO :KABLA YA KUHITISHA RATIBA YAKE KWA MSITIKI WA MTORO ,AMBAPO ULIFANYIKA BAADA YA SWALA YA MAGHARIB.
#SHEIKH MBARAK AHMED;AKIAGANA NA WAUMINI WA MSIKITI WA MTORO JIJINI DAR ES SALAAM,BAADA YA KUKAMILISHA MUHADHARA WAKE ALIOUFANYA SIKU HIYO YA AL KHAMIS TAR;29 DEC 2016, BAADA YA SWALAT MAGHARIB.

BAADA YA HAPO SIKU YA IJUMAA YA TAR:30-DEC-2016 .SHEIKH MBARAK AHMED AWES , ALIJUMUIKA NA WAUMINI WA MSIKITI WA KICHANGANI ULIOPO MAGOMENI-DAR ES SALAAM  KWA KUSHIRIKI KATIKA KUTOA "KHUTBA YA AL JUMAA"
#SHEIKH MBARAK AHMED AWES: AKIWASILISHA KHUTBA YAKE YA SWALAT AL -JUMAA ,MBELE YA WAUMINI WA MSIKITI WA KICHANGANI;
#WAUMIN WA MSIKITI WA KICHANGANI WAKISIKILIZA KHUTBA YA AL JUMAA KWA UMAKINI KUTOKA KWA SHEIKH MUBARAK AHMED AWES.

#BAADA YA SWALAT AL JUMAA" WAUMIN WALIPATA FURSA YA KUAGANA NA SHEKH MUBARAK AHMED.
#BAADA YA KUHITIMISHA SHUGHULI NZIMA YA SWALAT AL JUMAA: PICHA YA PAMOJA BAINA YA VIONGOZI NA MASHEKH  WAKIONGOZWA NA IMAMU MKUU WA MSIKITI WA KICHANGANI, SHEIK: WALID wa TATU kutokea upande wa kushoto,  WAKIWA  KWENYE PICHA YA PAMOJA NA SHEKH MUBARAK AHMED AWES wa NNE kutokea kushoto, AKIFUATIWA NA MH; JANUARY MAKAMB,
#TIMU YA WAPIGA PICHA YA "TEHAM"CHINI YA "KALAMU STUDIO"wakiongozwa na DIRECTA ;MUSTAPHA , MPIGA PICHA MKUU:JAFFARI ,NA CAMERA MAN :MOHAMMED KASHI. WAKIFANIKISHA TUKIO HILI KWA KUKUSANYA MATUKIO YA SHUGHULI NZIMA ,KATIKA MSIKITI WA KICHANGANI.


blog hii:ITAENDELEA KUKUPATIA UP DATE NA MATUKIO, KATIKA MFULULIZO WA MIHADHARA YA SHEIKH MUBARAK AHMED AWES, INAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM:

USIKAE MBALI NA BLOG YAKO HII YA 
www.tehamaclasstz.blogspot.com
















Saturday, November 19, 2016

TEHAMA CLASS TZ PAMOJA NA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA

KUELEKEA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SKAUTI AFRICA NA MIAKA 100 YA SKAUTI TANZANIA , TEHAMA CLASS INAKULETEA, MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA:

Na: Seif.J.Seif
#tehamaclass Media
www.tehamaclasstz.com
                       #Kamishna Mkuu, Wa SKAUTI TANZANIA, Mhe: ABDULKARIM SHA'A.
#KAMISHNA MKUU Wa,SKAUTI TANZANIA, Mhe: ABDULKARIM SHA'A (wa kwanza Kulia) Akiwa na Vijana Wa Tehama Class, katika Kuhakiksha Mambo yanaenda vizuri.
#MKURUGENZI NA DIRECTA MKUU WA TEHAMA CLASS, Ndgu: MUSTAFA RAJAB. Akitoa Maelekezo kwa Vijana wake, kwa Ajili ya Kuhakikisha Mambo yote Yanakwenda Sawa ,
#kwa Upande wa I.T TECHNICAL wa TEHAMA CLASS  Ndgu:FADHIL RASHID Alichukua nafasi yake 
#Editor Mkuu Wa TEHAMA CLASS,Ndgu JAFFAR CHING'S ,Akiiandaa mitambo kwa ajili Kurekodi Tukio hilo.  
#Vijana Wa Tehama Class :Upande wa Kamera Man hapo ni, Ndgu; MOHAMMED KHASY, na wa pembeni yake ni Mwana Blog ,Ndgu SEIF J. SEIF  Wakiwa kwenye Majukumu yao 
#Production Manager wa Vipindi wa TEHAMA CLASS, Dada; GRACE JONES, akiwa Makini katika kufanikisha Projecti hiyo  Ndani ya Makao Makuu ya Chama Cha SKAUTI TANZANIA.
#DIRECTA MKUU wa TEHAMA CLASS Ndgu:MUSTAFA RAJAB Akiwa pamoja na BAADHI ya Viongozi wa CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA, Ndani ya Makao Makuu ya Chama Hicho,Upanga Jijini D.S.M
#KAMERA YA TEHAMA CLASS,Ikiwa Tayari Kukamilisha Matukio
#Muwakilishi wa vijana wa SKAUTI  Wilaya Ya Ilala D.s.m
 #TIMU NZIMA YA TEHAMA CLASS, Ilikuwepo Eneo la Location, Wakiongozwa na Directa MUSTAFA RAJAB,pamoja Production Manager; GRACE JONES.

www.tehamaclasstz.blogspot.com
#tehama Yetu Tanzania