Saturday, November 19, 2016

TEHAMA CLASS TZ PAMOJA NA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA

KUELEKEA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SKAUTI AFRICA NA MIAKA 100 YA SKAUTI TANZANIA , TEHAMA CLASS INAKULETEA, MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA:

Na: Seif.J.Seif
#tehamaclass Media
www.tehamaclasstz.com
                       #Kamishna Mkuu, Wa SKAUTI TANZANIA, Mhe: ABDULKARIM SHA'A.
#KAMISHNA MKUU Wa,SKAUTI TANZANIA, Mhe: ABDULKARIM SHA'A (wa kwanza Kulia) Akiwa na Vijana Wa Tehama Class, katika Kuhakiksha Mambo yanaenda vizuri.
#MKURUGENZI NA DIRECTA MKUU WA TEHAMA CLASS, Ndgu: MUSTAFA RAJAB. Akitoa Maelekezo kwa Vijana wake, kwa Ajili ya Kuhakikisha Mambo yote Yanakwenda Sawa ,
#kwa Upande wa I.T TECHNICAL wa TEHAMA CLASS  Ndgu:FADHIL RASHID Alichukua nafasi yake 
#Editor Mkuu Wa TEHAMA CLASS,Ndgu JAFFAR CHING'S ,Akiiandaa mitambo kwa ajili Kurekodi Tukio hilo.  
#Vijana Wa Tehama Class :Upande wa Kamera Man hapo ni, Ndgu; MOHAMMED KHASY, na wa pembeni yake ni Mwana Blog ,Ndgu SEIF J. SEIF  Wakiwa kwenye Majukumu yao 
#Production Manager wa Vipindi wa TEHAMA CLASS, Dada; GRACE JONES, akiwa Makini katika kufanikisha Projecti hiyo  Ndani ya Makao Makuu ya Chama Cha SKAUTI TANZANIA.
#DIRECTA MKUU wa TEHAMA CLASS Ndgu:MUSTAFA RAJAB Akiwa pamoja na BAADHI ya Viongozi wa CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA, Ndani ya Makao Makuu ya Chama Hicho,Upanga Jijini D.S.M
#KAMERA YA TEHAMA CLASS,Ikiwa Tayari Kukamilisha Matukio
#Muwakilishi wa vijana wa SKAUTI  Wilaya Ya Ilala D.s.m
 #TIMU NZIMA YA TEHAMA CLASS, Ilikuwepo Eneo la Location, Wakiongozwa na Directa MUSTAFA RAJAB,pamoja Production Manager; GRACE JONES.

www.tehamaclasstz.blogspot.com
#tehama Yetu Tanzania











No comments:

Post a Comment