#TehamaclasstzMedia
www.tehamaclasstz.blogspot.com
#KARIBUNI KWENYE UZINDUZI
MATUKIO YA UZINDUZI NA UKARABATI WA KITUO CHA TEHAMA WILAYA YA KINONDONI DSM
#BAADHI YA WAGENI WAALIKWA MEZA KUU
kutoka kulia ni MWAKILISHI WA AMANA BANK. na ANAYEFUATIA NI SHEIKH WA WILAYA YA KINONDONI
NA MZEE WETU YEBBA .
BENK YA AMANA BANK WAPO KWENYE TUKIO KWA AJILI YA KUWASAJILI WATEJA
#DUA YA UFUNGUZI IKISOMWA NA SHEIKH AMIRI
#DUA YA UFUNGUZI IKIENDELEA
#MGENI RASMI: MUHESHIMIWA AL HAJJ RAMADHAN MADABIDA, AKIWASILI ENEO LA TUKIO KWENYE UZINDUZI NA UKARABATI WA KITUO CHA MAFUNZO NA UHAMASISHAJI WA TEHAMA :MABIBO DSM
#MGENI RASMI MHE; RAMADHAN MADABIDA AKISALIMIANA NA VIONGOZI MBALIMBALI
#MGENI RASMI MHE: MADABIDA AKICHUKUA NAFASI YA KUKETI KWENYE MEZA KUU
#MKURUGENZI MTENDAJI WA KITUO : NDGU MUSTAFA AKIMKARIBISHA KWA MAELEZO MAFUPI MHE:MGENI RASMI
#MWANAKAMATI :NDGU HAMDAN SHIRIMA AKICHUKUA NAFASI YAKE YA KUWASAINISHA WEGENI WA MEZA KUU AKIWEMO MGENI RASMI MHE: RAMADHAN MADABIDA AKIONEKANA KUSAIN KITABU CHA MAHUDHURIO YA HAFLA YA UZINDUZI WA TEHAMA KWENYE KITUO CHETU
#NASAHA MBALIMBALI ZILITOLEWA : MHE OTHMAN MFUTAKAMBA AMBAYE ALIWAHI KUWA NAIBU WAZIRI WA MAWASILIANO NA UCHUKUZI KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA NNE YA TANZANIA AKIWASILISHA MADA NA MCHANGO WAKE KTK SUALA ZIMA LA TEHAMA NCHINI TANZANIA
MHE: KASSIM LEMA DIWANI WA KATA YA MABIBIO AKITOA NASAHA ZAKE NA KUAHIDI KUUNGA MKONO KITUO HICHO KWA HALI NA MALI NA KUHAKIKISHA KINAFIKIA MALENGO YAKE
#MUWAKILISHI WA TEHAMA KATIKA UPANDE WA NETWORK :NDGU FADHIL RASHID AKIELEZEA FAIDA YA TEHAMA KATIKA MFUMO WA KISASA WA MATUMIZI YA MTANDAO KATIKA KUFANYA HUDUMA MBALIMBALI YA KIJAMII ,BIASHARA NA UCHUMI
#WASHIRIKI MBALI MBALI WAKIFUATILIA KWA UMAKINI NA KUHAKIKISHA HAWAPITWI NA JAMBO KTK HAFLA HIYO
#SHEIK AL HAJJ MSII AKITOA NASAHA ZAKE
#WASOMA RISALA WA TEHAMA ; DADA HAULAT CHUO NA MWENZAKE WAKIJIANDAA KWA AJILI YA TUKIO HILO
#MSOMA RISALA DADA HAULAT AKIWA TAYARI KABISA KTK KUUFIKISHA UJUMBE ULIOKUSUDIWA KWA HADHIRA NZIMA IKIONGOZWA NA MGENI RASMI MHE:RAMADHAN MADABIDA
#MGENI RASMI MHE: RAMADHAN MADABIDA AKITOA HOTUBA YAKE KATIKA HAFLA HIYO YA UZINDUZI WA KITUO CHA TEHAMA NA KUAHIDI KUWAUNGA MKONO KWA KTK JITIHADA HIZO ZA UHAMASISHAJI NA UFUNDISHAJI WA SOMO LA TEHAMA KTK MASHULE NCHINI KWA KUANZIA NGAZI YA SHULE YA MSINGI MPK VYUO VIKUU;
#MKURUGENZI WA KITUO NDGU MUSTAFA AKITOA SHUKRAN ZAKE ZA DHATI KWA WOTE AMBAO WAMEHUDHURIA HAFLA HIYO IKIWEMO SHHUKRAN ZA KIPEKEE KWA MGENI RASMI KWA KUITIKIA WITO WA KUWA KUJAKUWA MGENI RASMI
#BAADA YA HAPO TUKIO LA TAFRIJA YA CHAKULA LILICHUKUA NAFASI YAKE
#MZEE YEBBA NI MIONGONI MWA WATU MASHUHURI KATIKA ENEO LA MABIBO WALIOHUDHURIA HAFLA HIYO
#WAGENI MBALI MBALI WALIIKWA WAKIONGOZWA NA MGENI RASMI MHE:RAMADHAN MADABIDA WAKISHIRIKI KWENYE HAFLA YA TAFRIJA YA CHAKULA ILIYOANDALIWA KWA HESHIMA YAO
PICHA: MZEE YEBBA (KULIA) MZEE AL HAJJ MSII (ANAYEFUATA KUTOKA KULIA )NA MUHESHIMIWA MGENI RASMI NDGU RAMADHAN MADABIDA (ANAYEFUATIA KUTOKA KWA AL HAJJ MSII) NA PIA MUHESHIMIWA NAIBU WAZIRI MSTAAFU NDGU OTHMAN MFUTA KAMAB AKIWA SAMBAMBA NA WEGENI WENGINE
#BAADA YA TUKIO LA TAFRIJA YA CHAKULA: PICHA ZA PAMOJA ZILIPATIKANA
#PICHA YA PAMOJA WASHIRIKI NA MGENI RASMI
#PICHA YA PAMOJA NA MGENI RASMI
#PICHA: KUTOKA KUSHOTO NI MHE; OTHMAN MFUTAKAMBA, :MH KASSIM LEMA DIWANI WA MABIBO, MHE;MGENI RASMI RAMADHAN MADABIDA NA AL HAJJ MSII WAKIBADILISHANA MAWAZO BAADA YA HAFALA
#MZEE YEBBA AKIWA NA MUHARIRI WA GAZETI LA MWANAHALISI NDGU JABBIR IDRISSA :BAADA YA KUKUTANA KWENYE HAFLA YA UFUNGUZI NA UKARABATI WA KITUO CHA MAFUNZO NA UHAMASISHAJI WA TEHAMA>
#SEIF J, SEIF AKIAGANA NA MGENI RASMI MHE; RAMADHAN MADABIDA,MARA BAADA KUKAMILIKA KWA HAFLA HIYO YA TUKIO LA UZINDUZI NA UKARABATI WA KITUO CHA UHAMASISHAJI NA UFUNDISHAJI WA SOMO LA TEHAMA(TEKNOLOJIA HABARI NA MAWASILIANO) I.C.T KATIKA SHULE ZETU HAPA TANZANIA..
PICHA; MATUKIO NA MAELEZO:
NA
SEIF J, SEIF
#TEHAMAclassTzMedia
www.tehamaclasstz.blogspot.com
No comments:
Post a Comment