Saturday, November 19, 2016

TEHAMA CLASS TZ PAMOJA NA WADAU WAKE WAKIWA PAMOJA

MATUKIO KWENYE PICHA  TEHAMA CLASS TZ

NA :SEIF.J.SEIF
#TEHAMA CLASS- TZ, MEDIA 
www.tehamaclasstz.com
#Wadau Mbalimbali wa TEHAMA CLASS Wakisikiliza Nasaha za MWENYEKITI Wa Bodi ya Usimamizi wa kituo Mhe: RAJABU MWILIMA

Mzee Yebba na Sheikh SILIMA 
Mhe: RAJABU MWILIMA ambaye pia ndio Mwenyekiti Wa Bodi ya Tehama Class akiwa pamoja na  Mhe: DIWANI WA MABIBO  Ndgu: KASSIM LEMA  Wakibadilishana Mawazo
Sheikh SILIMA, Akitoa Nasaha zake Kwa Washiriki  na Wadau wa TEHAMA CLASS
hafla hiyo ilifanyika jijini MABIBO jijini Dar es salaam
Mhe: Dada PILI CHANDE  Naye kwa pamoja Aliweza kujumuika na WanaTEHAMA ktk Tukio hilo la Tafrija Baada ya Uzinduizi wa Kituo Kufanyika Mabibo D.S.M
Mkurugenzi wa Kituo cha TEHAMA CLASS TZ Ndgu RAJABU MUSTAFA Akieleza jambo kuhusu kituo hicho Wadau Mbali mbali Waliohudhuria Shughuli hiyo Maalum 
FADHIL RASHID akielezea jambo kuhusu Faida za MATUMIZI YA MTANDAO katika Ulimwengu wa sasa hivi
Hamdan Shirima Akielezea jambo la kuhusu Teknolojia na umuhimu wake katika Upande wa Mambo ya Afya.
MwanaTEHAMA CLASS Ndgu;Jaffari Akiwachukua Matukio Kwa Ajili  Ya Documentari

MWANA BLOG :SEIF J.SEIF  (KATIKATI) Akiwa na, Wadau wa TEHAMA CLASS T Z, Kutoka Kulia ni, Ndgu:MOHAMMED SEMPA , Anayefuatia Ni Ndgu: ABUU, NA wa Kwanza Kutoka Kushoto NI, Ndgu: KULWA Muslim
picha ya Pamoja kati ya Mhe: Rajab Mwilima na Wadau Wa Tehama Class Tz.

www.tehamaclasstz.blogspot.com
#Tehama yetu Tanzania

No comments:

Post a Comment