Friday, December 30, 2016

ZIARA NA MUHADHARA WA SHEIKH MBARAK AHMED AWES KUTOKA KENYA

TEHAMA KWA PAMOJA NA "KALAMU STUDIO"  WALISHIRIKI KIKAMILIFU, KATIKA KUWAKUSANYIA MATUKIO, YA  MIHADHARA YA SHEIKH MBARAK AHMED AWES. KUTOKA NCHINI KENYA .ALIPOKUWA HAPA NCHINI TANZAANIA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM.

NA;SEIF.J.SEIF
tehamaclass-tz
#RATIBA NZIMA YA ZIARA YA SHEKH MBARAK AHMED AWES

#MAHOJIANO MAALUM NA SHEIKH AHMED MBARAK AWES,MUDA MFUPI BAADA YA KUWASILI JIJINI DAR ES SALAAM.
#BAADA YA SWALAT DHUHURI "SHEIKH ALIANZA MUHADHARA WAKE WA KWANZA KATIKA MSIKITI WA JAMIA -KITUMBINI
#DR MBARAK AHMED(WA PILI KUTOKA KUSHOTO) AKIWA PAMOJA NA WENYEJI WAKE HAPA NCHINI :AKIWEMO RAIS WA KALAMU EDUCATION FOUNDATIO (WA KWANZA KUTOKA KULIA.
#DIRECTA  MUSTAFA AKIFANYA MAANDALIZI KWA AJILI YA MATUKIO YA MUHADHARA WA SHEIKH MBARAK AHMED  KWENYE MSIKITI WA MTORO-KARIAKOO.


#SHEIKH MBARAK AHMED AWES AKIWASILISHA MADA YAKE YA "I'SMA YA MTUME MOHAMMED (S.A.W) MBELE YA WAUMINI WA MSIKITI WA MTORO.

#WAUMIN WA MSIKITI WA MTORO WAKISIKILIZA KWA MAKINI ,MADA YA SHEKH MBARAK AHMED
MPIGA PICHA WETU :MOHAAMED KASHI-AKIHAKIKISHA HAPITWI NA TUKIO KATIKA MUHADHARA HUO WA SHEIKH MBARAK AHMED.
#SHEIKH MBARAK AHMED :AKISISITIZA JAMBO :KABLA YA KUHITISHA RATIBA YAKE KWA MSITIKI WA MTORO ,AMBAPO ULIFANYIKA BAADA YA SWALA YA MAGHARIB.
#SHEIKH MBARAK AHMED;AKIAGANA NA WAUMINI WA MSIKITI WA MTORO JIJINI DAR ES SALAAM,BAADA YA KUKAMILISHA MUHADHARA WAKE ALIOUFANYA SIKU HIYO YA AL KHAMIS TAR;29 DEC 2016, BAADA YA SWALAT MAGHARIB.

BAADA YA HAPO SIKU YA IJUMAA YA TAR:30-DEC-2016 .SHEIKH MBARAK AHMED AWES , ALIJUMUIKA NA WAUMINI WA MSIKITI WA KICHANGANI ULIOPO MAGOMENI-DAR ES SALAAM  KWA KUSHIRIKI KATIKA KUTOA "KHUTBA YA AL JUMAA"
#SHEIKH MBARAK AHMED AWES: AKIWASILISHA KHUTBA YAKE YA SWALAT AL -JUMAA ,MBELE YA WAUMINI WA MSIKITI WA KICHANGANI;
#WAUMIN WA MSIKITI WA KICHANGANI WAKISIKILIZA KHUTBA YA AL JUMAA KWA UMAKINI KUTOKA KWA SHEIKH MUBARAK AHMED AWES.

#BAADA YA SWALAT AL JUMAA" WAUMIN WALIPATA FURSA YA KUAGANA NA SHEKH MUBARAK AHMED.
#BAADA YA KUHITIMISHA SHUGHULI NZIMA YA SWALAT AL JUMAA: PICHA YA PAMOJA BAINA YA VIONGOZI NA MASHEKH  WAKIONGOZWA NA IMAMU MKUU WA MSIKITI WA KICHANGANI, SHEIK: WALID wa TATU kutokea upande wa kushoto,  WAKIWA  KWENYE PICHA YA PAMOJA NA SHEKH MUBARAK AHMED AWES wa NNE kutokea kushoto, AKIFUATIWA NA MH; JANUARY MAKAMB,
#TIMU YA WAPIGA PICHA YA "TEHAM"CHINI YA "KALAMU STUDIO"wakiongozwa na DIRECTA ;MUSTAPHA , MPIGA PICHA MKUU:JAFFARI ,NA CAMERA MAN :MOHAMMED KASHI. WAKIFANIKISHA TUKIO HILI KWA KUKUSANYA MATUKIO YA SHUGHULI NZIMA ,KATIKA MSIKITI WA KICHANGANI.


blog hii:ITAENDELEA KUKUPATIA UP DATE NA MATUKIO, KATIKA MFULULIZO WA MIHADHARA YA SHEIKH MUBARAK AHMED AWES, INAYOENDELEA JIJINI DAR ES SALAAM:

USIKAE MBALI NA BLOG YAKO HII YA 
www.tehamaclasstz.blogspot.com
















Saturday, November 19, 2016

TEHAMA CLASS TZ PAMOJA NA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA

KUELEKEA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SKAUTI AFRICA NA MIAKA 100 YA SKAUTI TANZANIA , TEHAMA CLASS INAKULETEA, MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA:

Na: Seif.J.Seif
#tehamaclass Media
www.tehamaclasstz.com
                       #Kamishna Mkuu, Wa SKAUTI TANZANIA, Mhe: ABDULKARIM SHA'A.
#KAMISHNA MKUU Wa,SKAUTI TANZANIA, Mhe: ABDULKARIM SHA'A (wa kwanza Kulia) Akiwa na Vijana Wa Tehama Class, katika Kuhakiksha Mambo yanaenda vizuri.
#MKURUGENZI NA DIRECTA MKUU WA TEHAMA CLASS, Ndgu: MUSTAFA RAJAB. Akitoa Maelekezo kwa Vijana wake, kwa Ajili ya Kuhakikisha Mambo yote Yanakwenda Sawa ,
#kwa Upande wa I.T TECHNICAL wa TEHAMA CLASS  Ndgu:FADHIL RASHID Alichukua nafasi yake 
#Editor Mkuu Wa TEHAMA CLASS,Ndgu JAFFAR CHING'S ,Akiiandaa mitambo kwa ajili Kurekodi Tukio hilo.  
#Vijana Wa Tehama Class :Upande wa Kamera Man hapo ni, Ndgu; MOHAMMED KHASY, na wa pembeni yake ni Mwana Blog ,Ndgu SEIF J. SEIF  Wakiwa kwenye Majukumu yao 
#Production Manager wa Vipindi wa TEHAMA CLASS, Dada; GRACE JONES, akiwa Makini katika kufanikisha Projecti hiyo  Ndani ya Makao Makuu ya Chama Cha SKAUTI TANZANIA.
#DIRECTA MKUU wa TEHAMA CLASS Ndgu:MUSTAFA RAJAB Akiwa pamoja na BAADHI ya Viongozi wa CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA, Ndani ya Makao Makuu ya Chama Hicho,Upanga Jijini D.S.M
#KAMERA YA TEHAMA CLASS,Ikiwa Tayari Kukamilisha Matukio
#Muwakilishi wa vijana wa SKAUTI  Wilaya Ya Ilala D.s.m
 #TIMU NZIMA YA TEHAMA CLASS, Ilikuwepo Eneo la Location, Wakiongozwa na Directa MUSTAFA RAJAB,pamoja Production Manager; GRACE JONES.

www.tehamaclasstz.blogspot.com
#tehama Yetu Tanzania











TEHAMA CLASS TZ PAMOJA NA WADAU WAKE WAKIWA PAMOJA

MATUKIO KWENYE PICHA  TEHAMA CLASS TZ

NA :SEIF.J.SEIF
#TEHAMA CLASS- TZ, MEDIA 
www.tehamaclasstz.com
#Wadau Mbalimbali wa TEHAMA CLASS Wakisikiliza Nasaha za MWENYEKITI Wa Bodi ya Usimamizi wa kituo Mhe: RAJABU MWILIMA

Mzee Yebba na Sheikh SILIMA 
Mhe: RAJABU MWILIMA ambaye pia ndio Mwenyekiti Wa Bodi ya Tehama Class akiwa pamoja na  Mhe: DIWANI WA MABIBO  Ndgu: KASSIM LEMA  Wakibadilishana Mawazo
Sheikh SILIMA, Akitoa Nasaha zake Kwa Washiriki  na Wadau wa TEHAMA CLASS
hafla hiyo ilifanyika jijini MABIBO jijini Dar es salaam
Mhe: Dada PILI CHANDE  Naye kwa pamoja Aliweza kujumuika na WanaTEHAMA ktk Tukio hilo la Tafrija Baada ya Uzinduizi wa Kituo Kufanyika Mabibo D.S.M
Mkurugenzi wa Kituo cha TEHAMA CLASS TZ Ndgu RAJABU MUSTAFA Akieleza jambo kuhusu kituo hicho Wadau Mbali mbali Waliohudhuria Shughuli hiyo Maalum 
FADHIL RASHID akielezea jambo kuhusu Faida za MATUMIZI YA MTANDAO katika Ulimwengu wa sasa hivi
Hamdan Shirima Akielezea jambo la kuhusu Teknolojia na umuhimu wake katika Upande wa Mambo ya Afya.
MwanaTEHAMA CLASS Ndgu;Jaffari Akiwachukua Matukio Kwa Ajili  Ya Documentari

MWANA BLOG :SEIF J.SEIF  (KATIKATI) Akiwa na, Wadau wa TEHAMA CLASS T Z, Kutoka Kulia ni, Ndgu:MOHAMMED SEMPA , Anayefuatia Ni Ndgu: ABUU, NA wa Kwanza Kutoka Kushoto NI, Ndgu: KULWA Muslim
picha ya Pamoja kati ya Mhe: Rajab Mwilima na Wadau Wa Tehama Class Tz.

www.tehamaclasstz.blogspot.com
#Tehama yetu Tanzania

Sunday, October 30, 2016

live UPdate: MATUKIO YA UZINDUZI NA UKARABATI WA KITUO CHA TEHAMA WILAYA YA KINONDONI DSM

 #Na Seif,J,Seif
#TehamaclasstzMedia
www.tehamaclasstz.blogspot.com

                                                        #KARIBUNI KWENYE UZINDUZI


MATUKIO YA UZINDUZI NA UKARABATI WA KITUO CHA TEHAMA WILAYA YA KINONDONI DSM

#BAADHI YA WAGENI WAALIKWA MEZA KUU 
kutoka kulia ni MWAKILISHI WA AMANA BANK. na ANAYEFUATIA NI SHEIKH WA WILAYA YA KINONDONI
NA MZEE WETU YEBBA .
BENK YA AMANA BANK WAPO KWENYE TUKIO KWA AJILI YA KUWASAJILI WATEJA

#DUA YA UFUNGUZI IKISOMWA NA SHEIKH AMIRI

#DUA YA UFUNGUZI IKIENDELEA


#MGENI RASMI: MUHESHIMIWA AL HAJJ RAMADHAN MADABIDA, AKIWASILI ENEO LA TUKIO KWENYE UZINDUZI NA UKARABATI WA KITUO CHA MAFUNZO NA UHAMASISHAJI WA TEHAMA   :MABIBO DSM


#MGENI RASMI MHE; RAMADHAN MADABIDA AKISALIMIANA NA VIONGOZI MBALIMBALI  

#MGENI RASMI MHE: MADABIDA  AKICHUKUA NAFASI YA KUKETI KWENYE MEZA KUU

#MKURUGENZI MTENDAJI WA KITUO : NDGU MUSTAFA  AKIMKARIBISHA KWA MAELEZO MAFUPI MHE:MGENI RASMI 


#MWANAKAMATI :NDGU HAMDAN SHIRIMA  AKICHUKUA NAFASI YAKE YA KUWASAINISHA WEGENI WA MEZA KUU AKIWEMO MGENI RASMI MHE: RAMADHAN MADABIDA AKIONEKANA KUSAIN KITABU CHA MAHUDHURIO YA HAFLA YA UZINDUZI WA TEHAMA KWENYE KITUO CHETU

#NASAHA MBALIMBALI ZILITOLEWA : MHE OTHMAN MFUTAKAMBA  AMBAYE ALIWAHI KUWA NAIBU WAZIRI WA MAWASILIANO NA UCHUKUZI KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA NNE YA TANZANIA  AKIWASILISHA MADA NA MCHANGO WAKE KTK SUALA ZIMA LA TEHAMA NCHINI TANZANIA  

MHE: KASSIM  LEMA  DIWANI WA KATA YA MABIBIO  AKITOA NASAHA ZAKE  NA KUAHIDI KUUNGA MKONO KITUO HICHO KWA HALI NA MALI NA KUHAKIKISHA KINAFIKIA MALENGO YAKE  



#MUWAKILISHI WA TEHAMA KATIKA UPANDE WA NETWORK :NDGU FADHIL  RASHID  AKIELEZEA FAIDA YA TEHAMA KATIKA MFUMO WA KISASA WA MATUMIZI YA MTANDAO KATIKA KUFANYA HUDUMA MBALIMBALI  YA KIJAMII ,BIASHARA NA UCHUMI

#WASHIRIKI MBALI MBALI WAKIFUATILIA KWA UMAKINI NA KUHAKIKISHA HAWAPITWI NA JAMBO KTK HAFLA HIYO 

#SHEIK AL HAJJ MSII   AKITOA NASAHA ZAKE 

#WASOMA RISALA WA TEHAMA ; DADA HAULAT CHUO NA MWENZAKE WAKIJIANDAA KWA AJILI YA TUKIO HILO
#MSOMA RISALA  DADA HAULAT AKIWA TAYARI KABISA KTK KUUFIKISHA UJUMBE ULIOKUSUDIWA KWA HADHIRA NZIMA IKIONGOZWA NA MGENI RASMI  MHE:RAMADHAN MADABIDA

#MGENI RASMI MHE: RAMADHAN MADABIDA AKITOA HOTUBA YAKE KATIKA HAFLA HIYO YA UZINDUZI WA KITUO CHA TEHAMA  NA KUAHIDI KUWAUNGA MKONO KWA KTK JITIHADA HIZO ZA UHAMASISHAJI NA UFUNDISHAJI WA SOMO LA TEHAMA KTK MASHULE NCHINI KWA KUANZIA NGAZI YA SHULE YA MSINGI MPK VYUO VIKUU;

#MKURUGENZI WA KITUO NDGU MUSTAFA  AKITOA SHUKRAN ZAKE ZA DHATI KWA WOTE AMBAO WAMEHUDHURIA HAFLA HIYO IKIWEMO SHHUKRAN ZA KIPEKEE KWA MGENI RASMI KWA KUITIKIA WITO WA KUWA KUJAKUWA MGENI RASMI  


#BAADA YA HAPO TUKIO LA TAFRIJA YA CHAKULA LILICHUKUA NAFASI YAKE
#MZEE YEBBA NI MIONGONI MWA WATU MASHUHURI KATIKA ENEO LA MABIBO WALIOHUDHURIA HAFLA HIYO  





#WAGENI MBALI MBALI WALIIKWA  WAKIONGOZWA NA MGENI RASMI  MHE:RAMADHAN MADABIDA  WAKISHIRIKI KWENYE HAFLA YA TAFRIJA YA CHAKULA ILIYOANDALIWA KWA HESHIMA YAO

PICHA: MZEE YEBBA (KULIA) MZEE AL HAJJ MSII (ANAYEFUATA KUTOKA KULIA )NA MUHESHIMIWA MGENI RASMI NDGU RAMADHAN MADABIDA (ANAYEFUATIA KUTOKA KWA AL HAJJ MSII) NA PIA MUHESHIMIWA NAIBU WAZIRI MSTAAFU  NDGU OTHMAN MFUTA KAMAB AKIWA SAMBAMBA NA WEGENI WENGINE


#BAADA YA TUKIO LA TAFRIJA YA CHAKULA: PICHA ZA PAMOJA ZILIPATIKANA






#PICHA YA PAMOJA WASHIRIKI NA MGENI RASMI





#PICHA YA PAMOJA NA MGENI RASMI
#PICHA: KUTOKA KUSHOTO  NI MHE; OTHMAN MFUTAKAMBA,   :MH  KASSIM LEMA DIWANI WA MABIBO, MHE;MGENI RASMI RAMADHAN MADABIDA  NA AL HAJJ MSII   WAKIBADILISHANA MAWAZO BAADA YA HAFALA 



#MZEE YEBBA   AKIWA NA MUHARIRI WA GAZETI LA MWANAHALISI  NDGU JABBIR IDRISSA :BAADA YA KUKUTANA KWENYE HAFLA YA UFUNGUZI NA UKARABATI WA KITUO CHA MAFUNZO NA UHAMASISHAJI WA TEHAMA>

#SEIF J, SEIF   AKIAGANA NA MGENI RASMI  MHE; RAMADHAN MADABIDA,MARA  BAADA KUKAMILIKA KWA HAFLA HIYO YA TUKIO LA UZINDUZI NA UKARABATI WA KITUO CHA UHAMASISHAJI NA UFUNDISHAJI WA SOMO LA TEHAMA(TEKNOLOJIA HABARI NA MAWASILIANO) I.C.T  KATIKA SHULE ZETU HAPA TANZANIA..


PICHA; MATUKIO NA MAELEZO: 
NA   
SEIF J, SEIF
#TEHAMAclassTzMedia
www.tehamaclasstz.blogspot.com